• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa Tano wa Wajumbe wote wa Kamati Kuu ya 19 ya CPC wafanyika Beijing

    (GMT+08:00) 2020-10-26 17:10:50

    Mkutano wa Tano wa Wajumbe wote wa Kamati Kuu ya Awamu ya 19 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefanyika leo mjini Beijing.

    Katibu mkuu wa Kamati hiyo, Xi Jinping, kwa niaba ya Ofisi ya siasa ya Kamati Kuu ya Chama, alitoa ripoti ya kazi, na kutoa ufafanuzi wa Mpango wa 14 wa Maendeleo wa Miaka Mitano kuhusu maendeleo ya uchumi na jamii pamoja na mapendekezo kuhusu malengo ya muda mrefu ya mwaka 2035.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako