• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mazungumzo kati ya Uingereza na EU yaahirishwa tena

    (GMT+08:00) 2020-10-26 18:27:56

    Habari kutoka Shirika la Habari la Uingereza (BBC) zinasema kuwa, baada ya Uingereza na Umoja wa Ulaya kuanzisha tena mazungumzo kuhusu uhusiano wao wa siku za baadaye, muda wa kipindi cha kwanza cha mazungumzo hayo uliopangwa kukamilika tarehe 25 umeongezwa.

    Habari zinasema, mazungumzo yaliyopangwa kufanyika kuanzia tarehe 22 hadi tarehe 25 yameahirishwa hadi tarehe 28. BBC imemnukuu ofisa mmoja wa Umoja wa Ulaya akisema kuwa, mazungumzo hayo yataendelea kufanyika tarehe 29 mjini Brussels.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako