• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makubaliano ya kusitisha vita kwenye eneo la Nagorno-Karabakh yafanya kazi kuanzia Oktoba 26

    (GMT+08:00) 2020-10-27 08:48:54

    Makubaliano mapya ya kusitisha vita kwenye eneo la Nagorno-Karabakh yaliyofikiwa kati ya Azerbaijan na Armenia ili kutoa nafasi kwa operesheni za kibinadamu yameanza kufanya kazi jana Oktoba 26, lakini mapambano kwenye eneo hilo bado hayajatulia, na pande mbili zimeendelea kulaumiana kukiuka makubaliano na kufanya mashambulizi.

    Makubaliano hayo yaliyofikiwa juzi Jumapili ni ya tatu ya kusitisha vita kati ya Azerbaijan na Armenia tangu mapambano yaibuke kati ya pande hizo mbili Septemba 27.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako