• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Palestina yatoa wito kufanyika mkutano wa kimataifa ili kuokoa mchakato wa amani wa Mashariki ya Kati

    (GMT+08:00) 2020-10-27 08:49:12

    Palestina imelihimiza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuokoa mchakato wa amani wa Mashariki ya Kati uliokwama kupitia kuitisha mkutano wa kimataifa kuhusu suala hilo. Waziri wa mambo ya nje wa Palestina Bw. Riyad al-Maliki ametoa ombi hilo kwenye hotuba aliyoitoa kwa njia ya mtandao kwenye mkutano wa wazi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa uliofanyika New York. Waziri huyo pia ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuiadhibu Israel kutokana na ujenzi wa makazi ya wayahudi kwenye Ukingo wa Magharibi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako