• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watoto 7 wauawa katika mlipuko uliotokea nchini Pakistan

    (GMT+08:00) 2020-10-27 16:19:53

    Watoto 7 wameuawa na wengine 120 kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea kwenye shule ya kidini mjini Peshawar, Khyber Pakhtunkhwa, kaskazini magharibi mwa Pakistan.

    Mpaka sasa hakuna kundi lolote kukiri kuwajibika na mlipuko huo uliotokea wakati watoto wengi wakiwa madarasani wakisoma.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako