• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa kilele wa viwanda na biashara wa G20 wataka ushirikiano wa kimataifa ili kutimiza ongezeko endelevu la uchumi

    (GMT+08:00) 2020-10-27 18:42:43

    Mwenyekiti wa Mkutano wa kilele wa viwanda na biashara wa kundi la nchi 20 (G20) Bw. Yousef Al-Benyan jana amesema, baada ya dunia kukumbwa na maambukizi ya virusi vya Corona, jumuiya ya kimataifa inahitaji mshikamano na ushirikiano, ili kutimiza ongezeko endelevu na uchumi shirikishi.

    Mkutano wa mwaka huu umefanyika tarehe 26 na tarehe 27 kwa njia ya video. Bw. Al-Benyan amesifu umuhimu wa serikali na Benki Kuu za nchi mbalimbali katika kukabiliana athari ya kiuchumi iliyosababishwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Amesema, kundi la nchi 20 limeahidi na lina nia ya kuchukua hatua zote za lazima kukabiliana na athari hiyo, na kulinda uchumi wa dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako