• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bunge la umma la China latoa wito wa kuimarisha ushirikiano kati ya mabunge ya nchi za BRICS

    (GMT+08:00) 2020-10-28 09:05:07

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Umma la China Bw. Li Zhanshu, ametoa wito kwa nchi za BRICS kuimarisha ushirikiano kati ya mabunge yao kwenye mkutano mmoja wa mabunge ya nchi hizo uliofanyika jana Jumanne kwa njia ya video.

    Bw. Li Zhanshu amependekeza mabunge ya BRICS kupanua ushirikiano kwenye nyanja ya afya ya umma, kutoa ulinzi wa kisheria kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona, na kupinga kulifanya janga la virusi vya Corona kuwa la kisiasa na kuwanyanyapaa wenye virusi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako