• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mapato ya wakulima nchini China yaongezeka kwa asilimia 1.6 katika robo tatu za mwanzo za mwaka huu

    (GMT+08:00) 2020-10-28 09:39:24

    Naibu waziri wa kilimo na vijiji wa China Bw. Liu Huanxin jana kwenye mkutano na waandishi wa habari amesema, mwaka 2019 mapato ya wastani ya wakulima wa China yalizidi yuan elfu 16, na kutimiza lengo la kuongezeka maradufu kabla ya muda uliopangwa.

    Mapato ya wastani ya wakulima wa China kwenye robo tatu za kwanza za mwaka huu yamefikia yuan 12,297, ikiwa ni ongezeko la asilimia 1.6, na kasi ya ongezeko hilo kwenye robo ya nne ya mwaka inakadiriwa kuongezeka zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako