• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Bergmann agonganisha vigogo Ulaya

    (GMT+08:00) 2020-10-28 16:40:58

    Bergmann Johannesson mwenye miaka 17 anayecheza ndani ya klabu IFK Norrkoping amewekwa kwenye rada za mabosi wa Liverpool, Juventus na Manchester United wote wakiwania saini yake. Ripoti zinaeleza kuwa Liverpool tayari wametuma wakala ndani ya timu yake hiyo, ili kuweza kupata taarifa zake zaidi baada ya kuvutiwa na uwezo wa kinda huyo ambaye anacheza nafasi ya kiungo. Nyota huyo anaaminika ndani ya kikosi cha IFK Norrkopinng na kwa msimu wa 2020/21, tayari amechangia jumla ya mabao 11 kwenye timu yake hiyo akifunga mabao matatu na kutoa pasi nane za mabao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako