• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • BASKETBALL: Kurasini sasa wataka ubingwa wa Afrika

    (GMT+08:00) 2020-10-28 16:46:22

    Baada ya timu ya mpira wa kikapu ya Kurasini Heat ya Tanzania kuifunga Oilers kwa point 76-59 katika fainali ya Ligi ya Taifa ya Kikapu (NBL), kocha wa timu hiyo Shendu Mwangalla amesema kitakachofuata sasa ni kubeba ubingwa wa Afrika. Mwangalla aliyeleta mafanikio makunwa kwa kipindi kifupi kwa timu hiyo, amesema ubingwa walioutwaa ulitokana na maandalizi mazuri waliyofanya, kuanzia kwenye mashindano ya kikanda (RBA).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako