• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Mkwasa azipasha Simba Yanga na Azam

    (GMT+08:00) 2020-10-28 16:43:40

    Kocha wa Klabu ya Ruvu Shooting ya Pwani, Charles Boniface Mkwasa amesisitiza kwamba vilabu vinatakiwa kuwapa nafasi wachezaji wazawa kwa kuwa wana uwezo mkubwa wa kucheza mpira wa miguu. Kauli ya Mkwasa imekuja muda mchache baada ya kikosi chake kuiadhibu Simba ambayo imekusanya wachezaji wengi wa kigeni lakini walishindwa kufua dafu mbele ya Ruvu Shooting ambayo haikua na mchezaji wa kigeni hata mmoja. Katika hatua nyingine kocha huyo wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' alifunguka na kusema kwamba vilabu vikongwe haviwaamini wachezaji wazawa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako