• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Man City yazima makali ya Marseille na kusajili ushindi wa pili UEFA

    (GMT+08:00) 2020-10-28 16:43:58

    Manchester City wameendeleza ushindi wao dhidi ya Porto katika mechi yao ya kwanza ya Klabu Bingwa Ulaya kwa kuifunga Marseille 3 – 0 katika mechi iliyochezwa Jumanne. Magoli kutoka kwa Ferran Torres, Ilkay Gundogan na Raheem Sterling yaliwatosha wachezaji hao wa Guardiola kusajili ushindi katika mechi yao ya makundi. Kocha Pep Guardiola aliridhishwa na mchezo huo huku akiwamiminia sifa wachezaji wake baada ya mechi hiyo. Ushindi huo umeweka Manchester City kwenye nafasi nzuri ya kushiriki mechi ya mchujo huku wakiongoza Kundi C na pointi sita kutoka kwa michezo miwili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako