• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Mwanaridha Christian Coleman afungiwa

    (GMT+08:00) 2020-10-28 16:45:36

    Bingwa wa dunia wa mita 100 katika riadha, Christian Coleman amepigwa marufuku kwa miaka miwili kushiriki mashindano mbalimbali baada ya kukosa kufeli vipimo vya dawa za kuongeza nguvu mara tatu. Mmarekani huyo mwenye umri wa miaka 24, ambaye amesimamishwa kazi kutoka 14 Mei 2020, atakosa michuano ya Olimpiki ya Tokyo iliyoahirishwa hadi mwaka ujao. Coleman alishinda medali ya dhahabu ya mita 100 kwenye Mashindano ya Dunia huko Doha mwaka 2019. Coleman, ana siku 30 kuwasilisha rufaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako