• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zaidi ya Watanzania milioni 29 wajitokeza kupiga kura katika uchaguzi mkuu nchini humo

    (GMT+08:00) 2020-10-28 16:55:07

    Zaidi ya Watanzania milioni 29 wamejitokeza kupiga kura katika vituo elfu 80 kote nchini humo katika uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani unaofanyika leo.

    Uchaguzi huo umevutia wagombea 15 kutoka vyama 15 vya siasa wanaogombea nafasi ya urais, lakini upinzani mkali ni kati ya rais wa sasa wa nchi hiyo John Magufuli kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) na mgombea kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu.

    Vituo vingi vya kupiga kura vilifunguliwa saa moja asubuhi kwa saa za huko na vinatarajiwa kufungwa saa kumi jioni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako