• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu saba wafarki na wengine 46 hawajulikani walipo kutokana na maporomoko ya ardhi Vietnam

    (GMT+08:00) 2020-10-29 09:09:27

    Maporomoko mawili ya ardhi yaliyotokea katika mkoa wa Quang Nam ulioko katikati ya Vietnam, yamesababisha vifo vya watu saba na wengine 46 hawajilikani walipo.

    Waziri mkuu wa Vietnam Nguyen Xuan Phuc ameziagiza Kamati ya taifa ya Mwitiko wa Majanga na idara nyingine za jeshi na serikali kushirikiana na kutumia njia zote kuwaokoa wahanga wa maafa hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako