• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: ZFF yapata matumaini na viongozi wanawake

    (GMT+08:00) 2020-10-29 17:40:09

    Shirikisho la soka visiwani Zanzibar (ZFF) lina matumaini makubwa ya kuona soka la wanawake linakuwa katika kushiriki michuano mbali mbali ndani na nje ya nchi. Hayo yameelezwa na Katibu wa Shirikisho hilo Ali Ame Vuai katika hafla ya ufungaji wa mafunzo ya siku tano ya uongozi kwa wanawake kwa mpira wa miguu huko Amaan. Alisema walikuwa na kiu kubwa ya viongozi wa mpira wa miguu kwa wanawake kupata mafunzo, ambapo kukamilika kwa mafunzo hayo kutaondosha changamoto hiyo. Alisema uwepo wa viongozi wanawake utapelekea msukumo mkubwa kwa mchezo huo kuonekana kama ilivyo kwa wanaume.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako