• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Mbio za NBC Marathon zazinduliwa rasmi Dar

    (GMT+08:00) 2020-10-29 17:41:54

    Hatimaye Benki ya Taifa ya Biashara Tanzania (NBC) kwa kushirikiana na Shirikisho la Riadha la Taifa (RT) wamezindua rasmi mbio zinazofahamika kama NBC Marathon zinazotarajiwa kufanyika Novemba 22, mwaka huu jijini Dodoma. Waandaaji wa mbio hizo wamesema, lengo kuu ni kuchochea mapambano dhidi ya ugonjwa wa saratani ya shingo ya uzazi nchini Tanzania. Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Theobald Sabi amesema, pamoja na dhamira yao ya dhati ya kuwekeza kwenye mchezo wa riadha kupitia mbio hizo, mapato yote yatakayotokana na usajili wa wakimbiaji yataelekezwa kwenye vita dhidi ya ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi kipitia Taasisi ya Saratani ya Ocean Road.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako