• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Mwakinyo arudi namba moja nchini, apanda Afrika, dunia

    (GMT+08:00) 2020-10-29 17:42:48

    Bondia Hassan Mwakinyo amepanda kwa nafasi 14 katika viwango vya ngumi duniani, huku akitajwa kuwa bondia namba moja nchini Tanzania. Kwa mujibu wa viwango vipya vya dunia vya mtandao wa ngumi za kulipwa, Mwakinyo sasa ni bondia bora wa 72 duniani kutoka nafasi ya 86 aliyokuwepo awali kwenye uzani wa super welter anaopigania. Kwa Tanzania, Mwakinyo amepanda na kuwa bondia bora namba moja katika ubora wa mabondia wa kila uzani (pound for pound) huku Ibrahim Class bondia wa uzani wa super feather akishuka na kushika nafasi ya pili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako