• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapaswa kushinda mapambano dhidi ya umaskini kwa wakati

    (GMT+08:00) 2020-10-29 19:57:40

    Taarifa ya kikao cha Mkutano wa 5 wa awamu ya 19 ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) inasema, wanachama wote wa CPC na wachina wote wanapaswa kuendelea kujitahidi na kusonga mbele, ili kuhakikisha China inashinda mapambano dhidi ya umaskini, na kutimiza kujenga jamii yenye maisha bora kwa pande zote.

    Taarifa hiyo imesema, hatua hiyo itaweka msingi thabiti wa kujenga kikamilifu jamii ya kisasa ya ujamaa ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako