• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Magaidi 108 wauawa kwenye operesheni dhidi ya ugaidi Msumbiji

    (GMT+08:00) 2020-10-30 09:16:06

    Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya Msumbiji hivi karibuni vimewaua magaidi 108 kwenye operesheni ya kupambana na ugaidi inayoendelea mkoani Cape Delgado, kaskazini mwa nchi hiyo.

    Akihutubia bunge la nchi hiyo waziri mkuu wa Msumbiji Bw. Carlos Agostinho do Rosario amesema shughuli za kigaidi kwenye sehemu ya kaskazini ya nchi hiyo zimesababisha watu zaidi ya laki nne kukimbia makazi yao, na serikali inawasaidia kurudi kwenye maisha ya kawaida. Wakati huohuo, serikali pia itaongeza uwezo wa kupambana na ugaidi na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa kwenye nyanja hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako