• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi wa Umoja wa Ulaya walaani "mashambulizi ya kigaidi" nchini Ufaransa

    (GMT+08:00) 2020-10-30 09:40:40

    Viongozi wa Umoja wa Ulaya wametoa taarifa ya pamoja wakilaani "mashambulizi ya kigaidi" yaliyotokea nchini Ufaransa, baada ya shambulizi la hivi karibuni huko Nice ambalo limesababisha vifo vya zaidi ya watu watatu na wengine kadhaa kujeruhiwa.

    Viongozi hao wamewataka wenzao duniani wafanye juhudi ili kuhimiza mazungumzo na maelewano kati ya jamii na dini badala ya kuleta mgawanyiko, pia wameahidi kuendelea na mapambano dhidi ya ugaidi na msimamo kali wa kimabavu.

    Uchunguzi umeanza juu ya shambulizi la kisu lililotokea Alhamisi asubuhi katika kanisa kuu la Notre-Dame mjini Nice.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako