• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa zamani wa Sudan athibitika kuambukizwa virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-10-30 09:49:06

    Majibu ya kipimo cha virusi vya Corona alichofanywa mwenyekiti wa chama cha Al-Umma cha Sudan ambaye alikuwa waziri mkuu wa nchi hiyo Bw. Mariam al-Mahdi, yameonesha kuwa ameambukizwa virusi hivyo, na sasa anapatiwa matibabu na hali yake ni tulivu.

    Taarifa kutoka kamati ya mawaziri ya Sudan jana imesema mshauri wa ngazi ya juu wa waziri mkuu wa mpito wa Sudan, mkurugenzi wa ofisi ya waziri mkuu na mkuu wa benki kuu ya Sudan pia wamethibitika kuambukizwa virusi vya Corona. Watu wote waliokuwa karibu naye watafuatiliwa, lakini waziri mkuu Bw. Abdalla Hamdok hajaambukizwa virusi hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako