• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalamu wa nchi mbalimbali wasifu Mapendekezo ya Kamati Kuu ya Chama cha CPC kuhusu maendeleo ya China

    (GMT+08:00) 2020-10-30 09:54:51

    Mkutano wa tano wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ya awamu ya 19 ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC uliofanyika kuanzia tarehe 26 hadi 29 mjini Beijing, umejadili na kupitisha Mapendekezo ya Kamati Kuu ya Chama kuhusu Mpango wa 14 wa Miaka Mitano kuhusu maendeleo ya uchumi na jamii, na malengo ya muda mrefu ya kuelekea mwaka 2035. Wataalamu na wasomi wa nchi mbalimbali wanaona mapendekezo yanaweka malengo ya muda mrefu, ambayo yameweka mipango ya kuanzisha kwa pande zote kipindi kipya cha ujenzi wa China katika mambo ya kisasa ya ujamaa, na kuongeza imani ya nchi mbalimbali kwa mustakabali wa maendeleo ya China, na kuchangia ufufukaji wa uchumi wa dunia wakati wa janga la virusi vya Corona.

    Mtaalamu wa masuala ya kimataifa wa Kenya Cavins Adhill amesema anaamini China itaunda utaratibu mpya wa uchumi wenye kiwango cha juu zaidi na kufungua mlango zaidi, kupata maendeleo mapya katika ujenzi wa ustaarabu wa ikolojia, hali ambayo itatoa mfano mzuri wa kuigwa kwa maendeleo ya nchi nyingine duniani, na kuhimiza maendeleo shirikishi duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako