• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China ahutubia Baraza la Tatu la Wanasayansi Bingwa Duniani kwa njia ya video

    (GMT+08:00) 2020-10-30 14:06:39

    Mkutano wa tatu wa wanasayansi bingwa duniani umefanyika leo mjini Shanghai. Rais Xi Jinping wa China amehutubia mkutano huo kwa njia ya video.

    Kwenye hotuba yake rais Xi amesisitiza kuwa China inaweka mkazo mkubwa katika sayansi na teknolojia na mambo ya uvumbuzi, kushikilia kuuchukua uvumbuzi kuwa msukumo muhimu wa kwanza wa kuongoza maendeleo. Ameongeza kuwa China itatekeleza mkakati shirikishi na unaofungua mlango zaidi kuhusu ushirikiano wa kimataifa kwenye utafiti wa sayansi na teknolojia, pia inapenda kushirikiana na wanasayansi wa ngazi ya juu duniani na mashirika ya sayansi na teknolojia ya kimataifa, kuimarisha utafiti kuhusu masuala muhimu ya sayansi, kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya pamoja ya sayansi na teknolojia, na kuimarisha ushirikiano katika miradi muhimu ya kimkakati ya sayansi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako