• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Olunga, Wanyama wampongeza Mandela kujiunga na Mamelodi Sundowns

    (GMT+08:00) 2020-10-30 16:56:20

    Mshambuliaji Michael Olunga na kiungo Victor Wanyama wamepongeza Brian Mandela Onyango katika safari yake mpya baada ya beki huyo kuajiriwa na miamba wa Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns mnamo Oktoba 29, 2020. Mandela, 26, ambaye hakuwa na klabu tangu apigwe teke Julai 1 mwaka 2019 na Maritzburg United inayoshiriki Ligi Kuu, amejiunga na Sundowns kwa kandarasi ya miaka mitatu. Oktoba 29, beki huyo anayechezea timu ya taifa ya Kenya alithibitishwa kuwa mali ya Sundowns ilipochapisha picha yake na ikisema imekamilisha kumsaini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako