• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Kipruto ajiandaa kwa mbio za marathon za Valencia

    (GMT+08:00) 2020-10-30 16:57:09

    Amos Kipruto aliyepata medali ya shaba katika mashindano ya riadha ya dunia ya mwaka 2019 amesema anajitahidi kunoresha muda wake wa kukimbia hata katika msimu ulioathiriwa vibaya na janga la virusi vya Corona. Kipruto atapata nafasi nyingine ya kujaribu kupunguza muda wake wa 2:5:43 atakapokimbia katika mbio za marathon za Valencia zitakazofanyika Desemba 6.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako