• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yampongeza Magufuli kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa Tanzania

    (GMT+08:00) 2020-10-31 20:04:50

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Wang Wenbin leo amesema China inampongeza John Magufuli kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa Tanzania. China inaamini kuwa Tanzania itapata maendeleo zaidi kwenye sekta mbalimabli chini ya uongozi wa rais Magufuli. Ameongeza kuwa China inatarajia kuimarisha ushirikiano na serikali ya awamu mpya ya Tanzania, na kukuza zaidi uhusiano kati ya China na Tanzania.

    Kamati ya uchaguzi ya Tanzania jana ilitangaza kuwa rais wa sasa John Magufuli amechaguliwa tena kuwa rais wa Tanzania kwa kupata asilimia 84.3 za kura.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako