• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ujenzi wa mradi muhimu wa maji wa Mabwawa Matatu wa China wakamilika kwa pande zote

    (GMT+08:00) 2020-11-02 09:03:51

    Wizara ya Rasilimali ya Maji na Kamati ya Maendeleo na Mageuzi ya Taifa la China zimetangaza kuwa, utaratibu wa ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa Mabwawa Matatu umekamilika hivi karibuni. Kwa mujibu wa ukaguzi huo, ujenzi wa mradi huo umekamilika kwa pande zote, ubora wa mradi huo umekidhi kiwango kinachohitajika, na uendeshaji unadumisha hali nzuri. Pia mradi huo umeonesha umuhimu mkubwa katika kuzuia mafuriko, kutoa nishati ya umeme, kupitisha meli za uchukuzi, na matumizi ya maliasili ya maji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako