• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu tisa wafariki katika ajali ya barabarani nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2020-11-02 09:04:16

    Watu tisa wamefariki papo hapo kwenye ajali ya barabarani iliyotokea katika Kaunti ya Kilifi iliyoko pwani nchini Kenya.

    Kamanda wa polisi wa tarafa ya Rabai Stephen Matu amesema, majeruhi saba wakiwemo watoto wawili wanapata matibabu katika hospitali ya Kaunti ndogo ya Mariakani, huku wawili kati yao wakiwa na hali mbaya. Pia amesema ajali hiyo ilisababishwa na mwendo wa kasi na uendeshaji mbaya wa gari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako