• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais mteule wa Tanzania akabidhiwa cheti cha ushindi

    (GMT+08:00) 2020-11-02 09:04:32

    Rais mteule wa Tanzania, John Magufuli ameahidi kujitahidi zaidi baada ya kuchaguliwa tena kuwa rais wa nchi hiyo.

    Bw. Magufuli amesema, ushindi huo mkubwa aliopewa na watanzania ni deni kubwa kwake, na anapenda kulilipa kwa kufanya kwa bidii kila siku, kutatua matatizo yanayoikabili nchi hiyo.

    Akitangaza matokeo ya uchaguzi wa rais Ijumaa usiku, mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania, Bw. Semistocles Kaijage alisema Magufuli aliyegombea kupitia chama tawala nchini humo CCM alishinda uchaguzi huo kwa kupata asilimia 84 ya kura.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako