• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chanjo nyingine ya COVID-19 ya China iko tayari kuingia katika kipindi cha tatu cha majaribio

    (GMT+08:00) 2020-11-02 09:04:43

    Chanjo nyingine ya COVID-19 iliyotengenezwa na Taasisi ya Microbiology iliyo chini ya Chuo cha Sayansi cha China imethibitishwa kuwa salama katika kipindi cha kwanza na cha pili cha majaribio, na kupendekezwa kufanyiwa majaribio zaidi.

    Wizara ya Sayansi na Teknolojia imesema, hadi sasa chanjo nne za China zimeingia kwenye majaribio hayo ya kipindi cha tatu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako