• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yazindua barabara iliyojengwa na China

    (GMT+08:00) 2020-11-02 09:04:56

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amezindua barabara ya Musita-Lumino-Busia-Majanji yenye urefu wa kilomita 104 iliyojengwa na China na kuunganisha mashariki mwa Uganda na eneo la mpaka na Kenya.

    Waziri wa ujenzi na usafirishaji wa Uganda Bw. Katumba Wamala amesema, barabara hiyo imeboreshwa kutoka ngazi ya changarawe kuwa kiwango cha lami.

    Habari zinasema, barabara hiyo iliyojengwa na kampuni ya 18 ya reli ya China imepunguza muda wa safari kutoka Busia hadi Jinja kutoka masaa matano hadi masaa mawili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako