• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaanza sensa ya saba ya idadi ya watu

    (GMT+08:00) 2020-11-02 09:05:07

    China jana imeanza kufanya sensa ya saba ya idadi ya watu, na takriban wafanyakazi milioni saba wanakwenda nyumba kwa nyumba kuandikisha mabadiliko ya idadi ya watu katika nchi hiyo yenye idadi kubwa zaidi ya watu duniani.

    Naibu mkuu wa Kamati ya Maendeleo na Mageuzi ya China Ning Jizhe amesema, kazi hiyo ni muhimu ili kuweza kuelewa idadi, muundo na usambazaji wa watu.

    Hesabu hiyo inakusanya data zikiwemo jina, nambari ya kitambulisho, jinsia, hali ya ndoa, elimu na ajira za watu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako