• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapunguza kodi za renminbi Yuan trilioni 2 katika robo tatu ya mwaka huu

    (GMT+08:00) 2020-11-02 19:25:24

    Habari kutoka idara kuu ya kodi ya taifa ya China zinasema, katika robo tatu ya mwaka huu, China ilipunguza kodi za renminbi Yuan zaidi trilioni 2, ambapo ilipunguza kodi za renminbi Yuan trilioni 1.36 katika sera za kuunga mkono udhibiti na kinga ya janga la COVID-19 na mendeleo ya uchumi na jamii.

    Kutokana na kutekeleza vizuri kwa sera za kuyasaidia makampuni kukabiliana na ugumu, nguvu ya sekta mbalimbali ilirejea hatua kwa hatua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako