• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atoa maelekezo muhimu kuhusu masuala ya kilimo na wakulima

    (GMT+08:00) 2020-11-02 19:28:33
    Rais Xi Jinping wa China ametoa maelekezo muhimu kuhusu masuala ya kilimo na wakulima nchini China, akiagiza kuzingatia maslahi ya wakulima katika kazi za vijijini.

    Rais Xi amesema inapaswa kuimarisha na kukamilisha mfumo wa kimsingi wa shughuli za vijijini, kuhimiza mageuzi ya ardhi, kuhamasisha wakulima kuendeleza kilimo cha kisasa, ili kuanzisha mazingira mazuri kwa ajili ya ustawi wa vijiji na kutimiza mambo ya kisasa vijijini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako