• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifo vinavyotokana na COVID-19 duniani yavuka milioni 1.2

    (GMT+08:00) 2020-11-02 19:30:30

    Chuo Kikuu cha Johns Hopkins nchini Marekani kimetoa takwimu kikisema idadi ya vifo duniani vinavyotokana na COVID-19 imevuka milioni 1.2 Jumatatu.

    Idadi hiyo ya vifo imepanda hadi 1,200,471 huku kukiwa na zaidi ya maambukizi milioni 46.5 duniani hadi kufikia saa 9:24 jioni kwa saa huko. Marekani linabaki kuwa taifa lenye maambukizi mengi zaidi ikiwa na watu 9,207,362 walioambukizwa na vifo 230,996, ikifuatiwa na Brazil yenye vifo 160,074, na India ikiwa ya tatu kwa kuwa na vifo 122,607.

    Nchi zenye vifo zaidi ya 33,000 ni pamoja na Mexico, Uingereza, Italia, Ufaransa, Hispania, Iran na Peru.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako