• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • IGAD yazindua mkakati wa maendeleo ya miundo mbinu ya kuvuka mipaka

    (GMT+08:00) 2020-11-03 08:44:35

    Shirika la Maendeleo la Kiserikali la Nchi za Afrika Mashariki (IGAD) jana limezindua mkakati wa maendeleo ya miundombinu ya kuvuka mipaka ili kutimiza ustawi wenye masikilizano wa sehemu za pembe ya Afrika kwa kupitia usafirishaji wa bidhaa za huduma bila vikwazo.

    Katibu mkuu wa IGAD Workneh Gebeyahu amesema, mkakati huo chini ya Pendekezo la Pembe ya Afrika (HOAI), unalenga kuendeleza miundombinu ya kisasa kwa ajili ya kuharakisha ongezeko la uchumi.

    Amesema kuwa, barabara ya Kampala, Juba, Addis Ababa na Djibouti imefanyiwa utafiti na inatarajiwa kuanza kujengwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako