• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shule za Rwanda zafunguliwa kwa kiasi baada ya kufungwa kwa miezi saba kutokana na COVID-19.

    (GMT+08:00) 2020-11-03 09:02:52

    Wanafunzi wa vidato vya juu katika shule zote za msingi na sekondari nchini Rwanda wameanza masomo Jumatatu baada ya shule kufungwa kwa miezi saba tangu mwezi Machi kutokana na maambukizi ya COVID-19.

    Waziri wa Elimu wa Rwanda Valentine Uwamariya amesema, Wizara hiyo imewaagiza wasimamizi wa shule kuhakikisha kwa pande zote utekelezaji wa hatua za tahadhari kuzuia kuenea zaidi kwa COVID-19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako