• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Raia zaidi ya 32 waliuawa katika shambulizi magharibi mwa Ethiopia

    (GMT+08:00) 2020-11-03 09:03:14

    Kamati ya Haki za Binadamu ya Ethiopia EHRC imetangaza kuwa, watu zaidi ya 32 wameuawa katika shambulizi la silaha lililotokea katika Jimbo la Oromia nchini Ethiopia. Kamati hiyo imesema kuwa washambuliaji hao walilenga watu wa kabila la Amharas ambalo ni kabila la pili kwa ukubwa nchini humo. Kamati hiyo imezihimiza mamlaka zinazohusika kufanya uchunguzi huru juu ya mauaji hayo na pia kutafuta sababu za jeshi kujiondoa kutoka eneo hilo ambalo linajulikana kuwa na hatari ya kushambuliwa, na kuchukua hatua mwafaka kuhakikisha usalama wa raia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako