• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu Mkuu wa UM atoa wito wa kulinda usalama wa waandishi wa habari

    (GMT+08:00) 2020-11-03 09:03:46

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kuwalinda waandishi wa habari wakati wa Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ukwepaji wa Sheria ya Uhalifu dhidi ya Wanahabari.

    Amesema wakati dunia inapopambana na janga la COVID-19, anatoa wito tena kuhakikisha uhuru wa vyombo vya habari ambavyo vinaweza kufanya kazi muhimu katika amani, haki, maendeleo endelevu na haki za binadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako