• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mavuno ya kizazi cha tatu cha mpunga wa mseto wa China yaongezeka

    (GMT+08:00) 2020-11-03 09:04:19

    Mavuno ya kizazi cha tatu cha mpunga wa mseto wa China yamezidi kilo 1,500 kila hekta 0.07.

    Msomi wa China Bw. Yuan Longping amesema, hayo ni maendeleo makubwa kwa uzalishaji wa mpunga, akieleza kuwa wastani wa uzalishaji wa mpunga wa aina hiyo unaongezeka kwa zaidi ya kilo 100 kila hekta 0.07, na uzalishaji wa jumla wa mpunga wa aina hiyo utaweza kuongezeka kwa zaidi ya mabilioni kadhaa kote nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako