• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sikukuu ya manunuzi ya 11/11 ya China yahimiza matumizi

    (GMT+08:00) 2020-11-03 20:22:19

    Shughuli za kutangaza bidhaa kwenye mtandao katika sikukuu ya 11/11 za mwaka huu zimeanza. Wachambuzi wanasema, kulingana na utekelezaji wa hali ya kawaida ya kujikinga na COVID-19 na ongezeko la kasi la aina mpya ya manunuzi, soko la China litafufuka na uchumi wa China utapata injini mpya ya maendeleo.

    Takwimu za biashara ya mtandao ya China zimeonesha kuwa, vifaa vya kidijitali vya matumizi ya maisha, mapambo na samani za kisasa vimeongeza katika mauzo. Pia matumizi ya miji ya ngazi ya pili na tatu yameongeza kwa kasi kubwa.

    Soko la China litaharakishwa kufufuka chini ya utekelezaji zaidi wa sera nzuri na maendeleo ya matumizi ya mtandao na nje ya mtandao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako