• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 22 wauawa katika shambulizi dhidi ya Chuo Kikuu cha Kabul

    (GMT+08:00) 2020-11-03 20:22:37

    Wizara ya mambo ya ndani ya Afghanistan imesema, wapiganaji watatu na watu 19 wameuawa na wengine 22 kujeruhiwa katika shambulizi dhidi ya Chuo Kikuu cha Kabul.

    Wizara hiyo imesema, wapiganaji kadhaa wamelipua mabomu na kuvamia chuoni na kupambana na kikosi cha kulinda usalama cha Afghanistan kilichowasili baadaye.

    Mpaka sasa, hakuna kundi lolote lililotangaza kuhusika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako