• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa Zinazoingizwa China Kutoka Nchi za Nje kusaidia kufufuka kwa uchumi wa dunia

    (GMT+08:00) 2020-11-03 20:23:21

    Mwenyekiti wa shirikisho la uchumi la Zambia Bw. Lubinda Haabazoka hivi karibuni huko Lusaka alisema, Maonesho ya 3 ya Kimataifa ya Bidhaa Zinazoingizwa China kutoka Nchi za Nje yatasaidia kufufuka kwa uchumi wa dunia. Uchumi wa China ulionesha uthabiti wake katika kipindi cha janga la COVID-19 na kutimiza ongezeko, China ni nguvu muhimu kabisa ya kuhimiza maendeleo ya uchumi wa dunia.

    Bw. Haabazoka alisema kuwa, makampuni ya Afrika yatakayohudhuria maonesho hayo yatapata manufaa mengi. Soko kubwa la China ni fursa nzuri kwa wafanyabiashara. Katika kipindi cha janga la COVID-19, China imeendelea kufanya mawasiliano ya kiuchumi na kibiashara na nchi za Afrika na kuonesha urafiki wa dhati kati ya pande hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako