• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watu waliokufa kwenye tetemeko la ardhi nchini Uturuki yafikia 92

    (GMT+08:00) 2020-11-03 20:23:39

    Mamlaka ya Usimamizi wa Majanga na Dharura ya Uturuki jana ilisema kuwa, idadi ya watu waliokufa kwenye tetemeko la ardhi nchini humo ilifikia 92 na wengine 994 kujeruhiwa.

    Mamlaka hiyo pia ilisema kuwa, hivi sasa karibu watu 8,00, mbwa 25 wa uokozi na magari zaidi ya 1,000 yalianza uokoaji kwenye eneo lililokumbwa na maafa, kikundi cha uokozi kiliendelea kutafuta manusura.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako