• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya inaangalia kupoteza mabilioni ya pesa kutokana na kushindwa kukamilisha mamia ya miradi

    (GMT+08:00) 2020-11-03 20:31:39

    Kenya inaangalia kupoteza mabilioni ya pesa kutokana na kaunti na viongozi wa kisiasa kushindwa kukamilisha mamia ya miradi.

    Kulingana na mkaguzi mkuu wa hesabu Nancy Gathungu, miradi yenye thamani ya zaidi ya Sh360B imekwama nchini labda kwa sababu ya ukosefu wa mgawanyo wa bajeti au mabadiliko katika uongozi wa kisiasa.

    Gathungu amesema miradi mingine imeachwa kwa sababu ya tofauti za kisiasa na mabadiliko katika uongozi wa kisiasa katika maeneo bunge na kaunti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako