• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yalaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya Chuo Kikuu cha Kabul

    (GMT+08:00) 2020-11-03 20:40:13

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Wang Wenbin amesema, China inalaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya Chuo Kikuu cha Kabul, nchini Afghanistan yaliyotokea jana na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 19.

    Wang amesema China siku zote inapinga kithabiti aina yoyote ya mashambulizi ya kigaidi, na inaunga mkono kithabiti serikali na watu wa Afghanistan kupambana na ugaidi na kulinda usalama wa taifa, China inapenda kushirikiana na jamii ya kimataifa kuhimiza Afghanistan kutimiza amani, utulivu, maendeleo na ustawi mapema zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako