• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Somalia lawaua wanamgambo 11 wa al-Shabaab mkoa wa kusini

    (GMT+08:00) 2020-11-03 20:41:06

    Vikosi Maalumu vya Jeshi la Taifa la Somalia SNA leo vimewaua wanamgambo 11 wa al-Shabaab akiwemo kamanda mwandamizi katika mji wa Sablale mkoa wa Lower Shabelle.

    Afisa mwandamizi wa SNA Mohamed Abdullahi amesema jeshi lake lilikuwa likifanya operesheni yake leo asubuhi na kuwaua kamanda mwandamizi Muad Dhere aliyekuwa anashughulikia ukanda wa Jubba na walinzi wake kumi, ambao walikuwa wanatoka mkoa wa Middle Jubba kuelekea Lower Shabelle.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako