• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uingereza yaongeza kiwango cha matishio ya mashambulizi ya kigaidi

    (GMT+08:00) 2020-11-04 09:09:16

    Wizara ya mambo ya ndani ya Uingereza jana imetangaza kuongeza kiwango cha matishio ya mashambulizi ya kigaidi nchini humo kutoka ngazi ya tatu hadi ngazi ya pili, ambayo ni hatari ya juu zaidi, ikimaanisha kuwa uwezekano wa kutokea kwa mashambulizi ya kigaidi nchini Uingereza ni mkubwa sana.

    Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza Bi. Priti Patel amesema, hii ni hatua ya kujikinga, na hailengi matisho halisi. Vilevile amewakumbusha raia kuwa makini, na kuripoti polisi mara watakapogundua shughuli za kutiliwa mashaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako