• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Burundi kufungua tena anga yake Novemba 8

    (GMT+08:00) 2020-11-04 09:23:19

    Serikali ya Burundi imesema kuwa itafungua tena anga yake Jumapili ya tarehe 8 mwezi huu, baada ya kufungwa kwa karibu miezi minane kutokana na hatua za kuzuia kuenea kwa janga la COVID-19.

    Taarifa ya msemaji wa serikali ya nchi hiyo, Prosper Ntahorwamiye imesema, wasafiri wote wanaoingia na kutoka nchi hiyo watalazimika kuonesha matokeo ya vipimo vya COVID-19 vilivyofanywa ndani ya saa 72 kabla ya safari zao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako